aboutsummaryrefslogtreecommitdiff
diff options
context:
space:
mode:
authorZaituni Njovu <zaitunimbii@gmail.com>2023-04-18 09:37:58 +0000
committerHosted Weblate <hosted@weblate.org>2023-04-18 15:52:35 +0200
commit24676d40db7ce6523d20f9a84eab8386791de9b1 (patch)
tree38dd65c2f39c0715140aa1fa79b06a6e382c1848
parentfac8c5a742d400c722cbf05ce2aa3062645851cc (diff)
downloadonionshare-24676d40db7ce6523d20f9a84eab8386791de9b1.tar.gz
onionshare-24676d40db7ce6523d20f9a84eab8386791de9b1.zip
Translated using Weblate (Swahili)
Currently translated at 43.3% (26 of 60 strings) Translation: OnionShare/Doc - Features Translate-URL: https://hosted.weblate.org/projects/onionshare/doc-features/sw/
-rw-r--r--docs/source/locale/sw/LC_MESSAGES/features.po93
1 files changed, 84 insertions, 9 deletions
diff --git a/docs/source/locale/sw/LC_MESSAGES/features.po b/docs/source/locale/sw/LC_MESSAGES/features.po
index 9d9174a1..2ca5d8b1 100644
--- a/docs/source/locale/sw/LC_MESSAGES/features.po
+++ b/docs/source/locale/sw/LC_MESSAGES/features.po
@@ -6,120 +6,195 @@
msgid ""
msgstr ""
"Project-Id-Version: OnionShare 2.5\n"
-"Report-Msgid-Bugs-To: \n"
+"Report-Msgid-Bugs-To: onionshare-dev@lists.riseup.net\n"
"POT-Creation-Date: 2022-01-17 10:28-0800\n"
-"PO-Revision-Date: YEAR-MO-DA HO:MI+ZONE\n"
-"Last-Translator: Automatically generated\n"
+"PO-Revision-Date: 2023-04-18 13:52+0000\n"
+"Last-Translator: Zaituni Njovu <zaitunimbii@gmail.com>\n"
"Language-Team: none\n"
"Language: sw\n"
"MIME-Version: 1.0\n"
"Content-Type: text/plain; charset=UTF-8\n"
"Content-Transfer-Encoding: 8bit\n"
+"Plural-Forms: nplurals=2; plural=n != 1;\n"
+"X-Generator: Weblate 4.17\n"
#: ../../source/features.rst:4
msgid "How OnionShare Works"
-msgstr ""
+msgstr "Namna OnionShare inafanya kazi"
#: ../../source/features.rst:6
msgid "Web servers are started locally on your computer and made accessible to other people as `Tor <https://www.torproject.org/>`_ `onion services <https://community.torproject.org/onion-services/>`_."
msgstr ""
+"Seva za tovuti zinaanzaga ndani katika kompyuta yako na kufanya zinapatikana "
+"kwa watu wengine kama `Tor <https://www.torproject.org/>`_ `onion services "
+"<https://community.torproject.org/onion-services/>`_."
#: ../../source/features.rst:8
msgid "By default, OnionShare web addresses are protected with a private key."
-msgstr ""
+msgstr "Kwa asili yake, anwani za tofuti za OnionShare hulindwa na private key."
#: ../../source/features.rst:10
msgid "OnionShare addresses look something like this::"
-msgstr ""
+msgstr "Anwani za OnionShare huonekana kama::"
#: ../../source/features.rst:14
msgid "And private keys might look something like this::"
-msgstr ""
+msgstr "Na private keys zinafanana kama hivi::"
#: ../../source/features.rst:18
msgid "You're responsible for securely sharing that URL and private key using a communication channel of your choice like in an encrypted chat message, or using something less secure like unencrypted email, depending on your `threat model <https://ssd.eff.org/module/your-security-plan>`_."
msgstr ""
+"Ni jukumu lako kusambaza URL katika hali ya usalama pamoja na private key "
+"kwa kutumia njia ya mawasiliano uipendayo kama ujumbne wa maandishi "
+"uliosimbwa, au kwa kutumia njia ambayo haina usalama sana kama barua pepe "
+"isiyosimbwa, kwa kutegemea `hali ya tishio <https://ssd.eff.org/module/your-"
+"security-plan>`_."
#: ../../source/features.rst:20
msgid "The people you send the URL to then copy and paste it into their `Tor Browser <https://www.torproject.org/>`_ to access the OnionShare service. Tor Browser will then prompt for the private key, which the people can also then copy and paste in."
msgstr ""
+"Watu unaowatumia URL nakili na nakilisha katika`Tor Browser <https://www."
+"torproject.org/>`_ ili kupata huduma ya OnionShare. Tor Browser kisha "
+"itahitaji kwa lazima, ambayo watu pia wanaweza kunakili na kunakilisha."
#: ../../source/features.rst:24
msgid "If you run OnionShare on your laptop to send someone files, and then suspend it before the files are sent, the service will not be available until your laptop is unsuspended and on the internet again. OnionShare works best when working with people in real-time."
msgstr ""
+"Kama unatumia OnionShare katika laptop yako kutuma mafaili kwa mtu, na kisha "
+"mtandao ukapotea kabla mafaili hayajatumwa, huduma haitapatikana mpaka pale "
+"laptop yako itakaporudi katika mtandao tena. OnionShare hufanya vizuri sana "
+"inapofanya kazi na watu katikia muda halisi."
#: ../../source/features.rst:26
msgid "Because your own computer is the web server, *no third party can access anything that happens in OnionShare*, not even the developers of OnionShare. It's completely private. And because OnionShare is based on Tor onion services too, it also protects your anonymity. See the :doc:`security design </security>` for more info."
msgstr ""
+"Kwasababu kompyuta yako mwenyewe ndio seva ya tovuti, *hakuna mtumiaji "
+"asiyehusika mojakwamoja anaweza kujua chochote kinachoendelkea katika "
+"OnionShare pia hata watengenezaji wa OnionShare. Hii ni faragha halisi. Na "
+"kwasababu OnionShare imejikita katika Tor onion services pia, Pia inalinda "
+"kutojulikana kwako. Angalia`security design </security>` kwa taarifa zaidi."
#: ../../source/features.rst:29
msgid "Share Files"
-msgstr ""
+msgstr "Sambaza Mafaila"
#: ../../source/features.rst:31
msgid "You can use OnionShare to send files and folders to people securely and anonymously. Open a share tab, drag in the files and folders you wish to share, and click \"Start sharing\"."
msgstr ""
+"Unaweza kutumia OnionShare kutuma mafaili na folda kwa watu kwa usalama na "
+"kutojulikana. Fungua kurasa ya kusambaza, vuta katika mafaili faili na folda "
+"ambayo unataka kusambaza, kisha bofya \"Start sharing\"."
#: ../../source/features.rst:35
#: ../../source/features.rst:112
msgid "After you add files, you'll see some settings. Make sure you choose the setting you're interested in before you start sharing."
msgstr ""
+"Baada ya kuongeza mafaili, utatumia baadhi ya mipangilio. Hakikisha "
+"unachagua mpangilio unaoupenda kabla ya kuanza kusambaza."
#: ../../source/features.rst:39
msgid "As soon as someone finishes downloading your files, OnionShare will automatically stop the server, removing the website from the internet. To allow multiple people to download them, uncheck the \"Stop sharing after files have been sent (uncheck to allow downloading individual files)\" box."
msgstr ""
+"Mara baada ya kumaliza kupakua mafaili, OnionShare mojakwamoja itasitisha "
+"seva, kuondoa tovuti katika mtandao. Kuruhusu watu wengi kuzipakua, ondoa "
+"ukaguzi \"acha kusambaza baada ya mafaili kutumwa (ondoa ukaguzi kuruhusu "
+"kupakua mafaili binafsi)\" ."
#: ../../source/features.rst:42
msgid "Also, if you uncheck this box, people will be able to download the individual files you share rather than a single compressed version of all the files."
msgstr ""
+"Pia, kama hutachagua sanduku hili, watu wataweza kupakua faili mojamoja "
+"uliyosambaza kuliko toleo lililo punguzwa katika mafaili yote."
#: ../../source/features.rst:44
msgid "When you're ready to share, click the \"Start sharing\" button. You can always click \"Stop sharing\", or quit OnionShare, immediately taking the website down. You can also click the \"↑\" icon in the top-right corner to show the history and progress of people downloading files from you."
msgstr ""
+"Utakapokuwa tayari kusambaza, bofya kitufe cha \"Start sharing\" . Kwa "
+"kawaida unaweza kubofya \"Stop sharing\", au kutoka OnionShare, maramoja "
+"itafanya tovuti kuwa chini. Pia unaweza kubofya alama ya \"↑\" juu upande wa "
+"kulia kuonyeasha kumbukumbu na maendeleo ya watu wakipakua mafaili toka "
+"kwako."
#: ../../source/features.rst:48
msgid "Now that you have a OnionShare, copy the address and the private key and send it to the person you want to receive the files. If the files need to stay secure, or the person is otherwise exposed to danger, use an encrypted messaging app."
msgstr ""
+"Sasa una OnionShare, nakili anwani na private key kisha tuma kwa mtu "
+"unayetaka apokee faili. Kama mafaili yanahitaji kuwa salama, au mtu "
+"amejiweka katika hatari, tumia programu ya ujumbe wa maandishi uliosimbwa."
#: ../../source/features.rst:50
msgid "That person then must load the address in Tor Browser. After logging in with the private key, the files can be downloaded directly from your computer by clicking the \"Download Files\" link in the corner."
msgstr ""
+"Mtu anayehitaji anwani toka Tor Browser. Baada ya kuingia kwa kutumia "
+"private key, faili linaweza kupakuliwa mojakwamoja kutoka kwenye kompyuta "
+"kwa kubofya \"Download Files\" katika anwani katika kona."
#: ../../source/features.rst:55
msgid "Receive Files and Messages"
-msgstr ""
+msgstr "Pokea mafaili na ujumbe wa maandishi"
#: ../../source/features.rst:57
msgid "You can use OnionShare to let people anonymously submit files and messages directly to your computer, essentially turning it into an anonymous dropbox. Open a receive tab and choose the settings that you want."
msgstr ""
+"Unaweza kutumia OnionShare kuwezesha watu kuwasilisha mafaili na ujumbe wa "
+"maandishi bila mkujulikanamojakwamoja katika kompyuta yako, na kuipeleka "
+"katika dropbox. Fungua kurasa ya kupokea na chagua mpangilio unaoutaka."
#: ../../source/features.rst:62
msgid "You can browse for a folder to save messages and files that get submitted."
msgstr ""
+"Unaweza kuperuzi kwa ajili ya folda ili kuhifadhi ujumbe wa maandishi na "
+"mafaili ambayo yamewasilishwa."
#: ../../source/features.rst:64
msgid "You can check \"Disable submitting text\" if want to only allow file uploads, and you can check \"Disable uploading files\" if you want to only allow submitting text messages, like for an anonymous contact form."
msgstr ""
+"Unaweza chagua\"Disable submitting text\" kama unataka kuruhusu kupakia "
+"mafaili tu, na unaweza chagua\"Disable uploading files\" kama unataka "
+"kuruhusu kuwasilisha ujumbe wa maandishi, kama ilivyo ikitoka kwa "
+"mawasiliano yasiyoijulikana."
#: ../../source/features.rst:66
msgid "You can check \"Use notification webhook\" and then choose a webhook URL if you want to be notified when someone submits files or messages to your OnionShare service. If you use this feature, OnionShare will make an HTTP POST request to this URL whenever someone submits files or messages. For example, if you want to get an encrypted text messaging on the messaging app `Keybase <https://keybase.io/>`_, you can start a conversation with `@webhookbot <https://keybase.io/webhookbot>`_, type ``!webhook create onionshare-alerts``, and it will respond with a URL. Use that as the notification webhook URL. If someone uploads a file to your receive mode service, @webhookbot will send you a message on Keybase letting you know as soon as it happens."
msgstr ""
+"Unaweza kuchagua \"Use notification webhook\" na kisha chagua webhook "
+"URLkama unataka kupata taarifa kama mtu amewasilisha mafaili au ujumbe wa "
+"maandishi katika huduma za OnionShare. Kama unataka kipengele hiki "
+"OnionShare itafanyamaombi ya HTTP POST katika URLhii kila mtu anapowasilisha "
+"mafaili na ujumbe wa maandishi. Kwa mfano, kama unataka kupata ujumbe wa "
+"maandishi uliosimbwa katika programu tumizi ya ujumbe wa maandishi `Keybase "
+"<https://keybase.io/>`_, unaweza majibizano na `@webhookbot <https://keybase."
+"io/webhookbot>`_, type ``!webhook unda onionshare-alerts``, na itatoa majibu "
+"kupitia URL. Tumia hiyo kama taarifa webhook URL. Kama mtu amepakia faili "
+"katika huduma ya mfumo wako wa kupokea @webhookbot itatuma ujumbe wa "
+"maandishi katika Keybase kukufahamisha mara baada ya kutokea."
#: ../../source/features.rst:71
msgid "When you are ready, click \"Start Receive Mode\". This starts the OnionShare service. Anyone loading this address in their Tor Browser will be able to submit files and messages which get uploaded to your computer."
msgstr ""
+"Ukiwa tayari, bofya \"Start Receive Mode\". Hii anza huduma za OnionShare. "
+"Yeyote anayetaka anwani hizi katika Tor Browser zao wataweza kuwasilisha "
+"mafaili na ujumbe wa maandishiambazo zimapakiwa katika kompyuta yako."
#: ../../source/features.rst:75
msgid "You can also click the down \"↓\" icon in the top-right corner to show the history and progress of people sending files to you."
msgstr ""
+"Pia unaweza kubofya mshare wa chini \"↓\" kulia kona ya juu kuonyesha "
+"historia na maendeleo ya watu wanaokutumia ujumbe wa maandishi."
#: ../../source/features.rst:77
msgid "Here is what it looks like for someone sending you files and messages."
msgstr ""
+"Hivi ndivyo inavyoonekana kwa mtu anapokutumia mafaili na ujumbe wa "
+"maandishi."
#: ../../source/features.rst:81
msgid "When someone submits files or messages to your receive service, by default they get saved to a folder called ``OnionShare`` in the home folder on your computer, automatically organized into separate subfolders based on the time that the files get uploaded."
msgstr ""
+"Mtu anapowasilisha mafaili au ujumbe wa maandishi katika huduma yako ya "
+"kupokea, kwa asili yake zinahifadhiwa katika folda linaloitwa ``OnionShare`` "
+"katika folda ukurasa wa nyumbani katika kompyuta yako, mojakwamoja panga "
+"katika mafolda madogo tofauti kulingana na muda ambao faili linasasishwa."
#: ../../source/features.rst:83
msgid "Setting up an OnionShare receiving service is useful for journalists and others needing to securely accept documents from anonymous sources. When used in this way, OnionShare is sort of like a lightweight, simpler, not quite as secure version of `SecureDrop <https://securedrop.org/>`_, the whistleblower submission system."