# SOME DESCRIPTIVE TITLE. # Copyright (C) Micah Lee, et al. # This file is distributed under the same license as the OnionShare package. # FIRST AUTHOR , YEAR. # msgid "" msgstr "" "Project-Id-Version: OnionShare 2.5\n" "Report-Msgid-Bugs-To: onionshare-dev@lists.riseup.net\n" "POT-Creation-Date: 2022-01-17 10:28-0800\n" "PO-Revision-Date: 2023-04-20 11:51+0000\n" "Last-Translator: Zaituni Njovu \n" "Language-Team: none\n" "Language: sw\n" "MIME-Version: 1.0\n" "Content-Type: text/plain; charset=UTF-8\n" "Content-Transfer-Encoding: 8bit\n" "Plural-Forms: nplurals=2; plural=n != 1;\n" "X-Generator: Weblate 4.18-dev\n" #: ../../source/features.rst:4 msgid "How OnionShare Works" msgstr "Namna OnionShare inafanya kazi" #: ../../source/features.rst:6 msgid "" "Web servers are started locally on your computer and made accessible to " "other people as `Tor `_ `onion services " "`_." msgstr "" "Seva za tovuti zinaanzaga ndani katika kompyuta yako na kufanya zinapatikana " "kwa watu wengine kama `Tor `_ `onion services " "`_." #: ../../source/features.rst:8 msgid "By default, OnionShare web addresses are protected with a private key." msgstr "" "Kwa asili yake, anwani za tofuti za OnionShare hulindwa na private key." #: ../../source/features.rst:10 msgid "OnionShare addresses look something like this::" msgstr "Anwani za OnionShare huonekana kama::" #: ../../source/features.rst:14 msgid "And private keys might look something like this::" msgstr "Na private keys zinafanana kama hivi::" #: ../../source/features.rst:18 msgid "" "You're responsible for securely sharing that URL and private key using a " "communication channel of your choice like in an encrypted chat message, or " "using something less secure like unencrypted email, depending on your " "`threat model `_." msgstr "" "Ni jukumu lako kusambaza URL katika hali ya usalama pamoja na private key " "kwa kutumia njia ya mawasiliano uipendayo kama ujumbne wa maandishi " "uliosimbwa, au kwa kutumia njia ambayo haina usalama sana kama barua pepe " "isiyosimbwa, kwa kutegemea `hali ya tishio `_." #: ../../source/features.rst:20 msgid "" "The people you send the URL to then copy and paste it into their `Tor " "Browser `_ to access the OnionShare service. " "Tor Browser will then prompt for the private key, which the people can also " "then copy and paste in." msgstr "" "Watu unaowatumia URL nakili na nakilisha katika`Tor Browser `_ ili kupata huduma ya OnionShare. Tor Browser kisha " "itahitaji kwa lazima, ambayo watu pia wanaweza kunakili na kunakilisha." #: ../../source/features.rst:24 msgid "" "If you run OnionShare on your laptop to send someone files, and then suspend " "it before the files are sent, the service will not be available until your " "laptop is unsuspended and on the internet again. OnionShare works best when " "working with people in real-time." msgstr "" "Kama unatumia OnionShare katika laptop yako kutuma mafaili kwa mtu, na kisha " "mtandao ukapotea kabla mafaili hayajatumwa, huduma haitapatikana mpaka pale " "laptop yako itakaporudi katika mtandao tena. OnionShare hufanya vizuri sana " "inapofanya kazi na watu katikia muda halisi." #: ../../source/features.rst:26 msgid "" "Because your own computer is the web server, *no third party can access " "anything that happens in OnionShare*, not even the developers of OnionShare. " "It's completely private. And because OnionShare is based on Tor onion " "services too, it also protects your anonymity. See the :doc:`security design " "` for more info." msgstr "" "Kwasababu kompyuta yako mwenyewe ndio seva ya tovuti, *hakuna mtumiaji " "asiyehusika mojakwamoja anaweza kujua chochote kinachoendelkea katika " "OnionShare pia hata watengenezaji wa OnionShare. Hii ni faragha halisi. Na " "kwasababu OnionShare imejikita katika Tor onion services pia, Pia inalinda " "kutojulikana kwako. Angalia`security design ` kwa taarifa zaidi." #: ../../source/features.rst:29 msgid "Share Files" msgstr "Sambaza Mafaila" #: ../../source/features.rst:31 msgid "" "You can use OnionShare to send files and folders to people securely and " "anonymously. Open a share tab, drag in the files and folders you wish to " "share, and click \"Start sharing\"." msgstr "" "Unaweza kutumia OnionShare kutuma mafaili na folda kwa watu kwa usalama na " "kutojulikana. Fungua kurasa ya kusambaza, vuta katika mafaili faili na folda " "ambayo unataka kusambaza, kisha bofya \"Start sharing\"." #: ../../source/features.rst:35 ../../source/features.rst:112 msgid "" "After you add files, you'll see some settings. Make sure you choose the " "setting you're interested in before you start sharing." msgstr "" "Baada ya kuongeza mafaili, utatumia baadhi ya mipangilio. Hakikisha " "unachagua mpangilio unaoupenda kabla ya kuanza kusambaza." #: ../../source/features.rst:39 msgid "" "As soon as someone finishes downloading your files, OnionShare will " "automatically stop the server, removing the website from the internet. To " "allow multiple people to download them, uncheck the \"Stop sharing after " "files have been sent (uncheck to allow downloading individual files)\" box." msgstr "" "Mara baada ya kumaliza kupakua mafaili, OnionShare mojakwamoja itasitisha " "seva, kuondoa tovuti katika mtandao. Kuruhusu watu wengi kuzipakua, ondoa " "ukaguzi \"acha kusambaza baada ya mafaili kutumwa (ondoa ukaguzi kuruhusu " "kupakua mafaili binafsi)\" ." #: ../../source/features.rst:42 msgid "" "Also, if you uncheck this box, people will be able to download the " "individual files you share rather than a single compressed version of all " "the files." msgstr "" "Pia, kama hutachagua sanduku hili, watu wataweza kupakua faili mojamoja " "uliyosambaza kuliko toleo lililo punguzwa katika mafaili yote." #: ../../source/features.rst:44 msgid "" "When you're ready to share, click the \"Start sharing\" button. You can " "always click \"Stop sharing\", or quit OnionShare, immediately taking the " "website down. You can also click the \"↑\" icon in the top-right corner to " "show the history and progress of people downloading files from you." msgstr "" "Utakapokuwa tayari kusambaza, bofya kitufe cha \"Start sharing\" . Kwa " "kawaida unaweza kubofya \"Stop sharing\", au kutoka OnionShare, maramoja " "itafanya tovuti kuwa chini. Pia unaweza kubofya alama ya \"↑\" juu upande wa " "kulia kuonyeasha kumbukumbu na maendeleo ya watu wakipakua mafaili toka " "kwako." #: ../../source/features.rst:48 msgid "" "Now that you have a OnionShare, copy the address and the private key and " "send it to the person you want to receive the files. If the files need to " "stay secure, or the person is otherwise exposed to danger, use an encrypted " "messaging app." msgstr "" "Sasa una OnionShare, nakili anwani na private key kisha tuma kwa mtu " "unayetaka apokee faili. Kama mafaili yanahitaji kuwa salama, au mtu " "amejiweka katika hatari, tumia programu ya ujumbe wa maandishi uliosimbwa." #: ../../source/features.rst:50 msgid "" "That person then must load the address in Tor Browser. After logging in with " "the private key, the files can be downloaded directly from your computer by " "clicking the \"Download Files\" link in the corner." msgstr "" "Mtu anayehitaji anwani toka Tor Browser. Baada ya kuingia kwa kutumia " "private key, faili linaweza kupakuliwa mojakwamoja kutoka kwenye kompyuta " "kwa kubofya \"Download Files\" katika anwani katika kona." #: ../../source/features.rst:55 msgid "Receive Files and Messages" msgstr "Pokea mafaili na ujumbe wa maandishi" #: ../../source/features.rst:57 msgid "" "You can use OnionShare to let people anonymously submit files and messages " "directly to your computer, essentially turning it into an anonymous dropbox. " "Open a receive tab and choose the settings that you want." msgstr "" "Unaweza kutumia OnionShare kuwezesha watu kuwasilisha mafaili na ujumbe wa " "maandishi bila mkujulikanamojakwamoja katika kompyuta yako, na kuipeleka " "katika dropbox. Fungua kurasa ya kupokea na chagua mpangilio unaoutaka." #: ../../source/features.rst:62 msgid "" "You can browse for a folder to save messages and files that get submitted." msgstr "" "Unaweza kuperuzi kwa ajili ya folda ili kuhifadhi ujumbe wa maandishi na " "mafaili ambayo yamewasilishwa." #: ../../source/features.rst:64 msgid "" "You can check \"Disable submitting text\" if want to only allow file " "uploads, and you can check \"Disable uploading files\" if you want to only " "allow submitting text messages, like for an anonymous contact form." msgstr "" "Unaweza chagua\"Disable submitting text\" kama unataka kuruhusu kupakia " "mafaili tu, na unaweza chagua\"Disable uploading files\" kama unataka " "kuruhusu kuwasilisha ujumbe wa maandishi, kama ilivyo ikitoka kwa " "mawasiliano yasiyoijulikana." #: ../../source/features.rst:66 msgid "" "You can check \"Use notification webhook\" and then choose a webhook URL if " "you want to be notified when someone submits files or messages to your " "OnionShare service. If you use this feature, OnionShare will make an HTTP " "POST request to this URL whenever someone submits files or messages. For " "example, if you want to get an encrypted text messaging on the messaging app " "`Keybase `_, you can start a conversation with " "`@webhookbot `_, type ``!webhook create " "onionshare-alerts``, and it will respond with a URL. Use that as the " "notification webhook URL. If someone uploads a file to your receive mode " "service, @webhookbot will send you a message on Keybase letting you know as " "soon as it happens." msgstr "" "Unaweza kuchagua \"Use notification webhook\" na kisha chagua webhook " "URLkama unataka kupata taarifa kama mtu amewasilisha mafaili au ujumbe wa " "maandishi katika huduma za OnionShare. Kama unataka kipengele hiki " "OnionShare itafanyamaombi ya HTTP POST katika URLhii kila mtu anapowasilisha " "mafaili na ujumbe wa maandishi. Kwa mfano, kama unataka kupata ujumbe wa " "maandishi uliosimbwa katika programu tumizi ya ujumbe wa maandishi `Keybase " "`_, unaweza majibizano na `@webhookbot `_, type ``!webhook unda onionshare-alerts``, na itatoa majibu " "kupitia URL. Tumia hiyo kama taarifa webhook URL. Kama mtu amepakia faili " "katika huduma ya mfumo wako wa kupokea @webhookbot itatuma ujumbe wa " "maandishi katika Keybase kukufahamisha mara baada ya kutokea." #: ../../source/features.rst:71 msgid "" "When you are ready, click \"Start Receive Mode\". This starts the OnionShare " "service. Anyone loading this address in their Tor Browser will be able to " "submit files and messages which get uploaded to your computer." msgstr "" "Ukiwa tayari, bofya \"Start Receive Mode\". Hii anza huduma za OnionShare. " "Yeyote anayetaka anwani hizi katika Tor Browser zao wataweza kuwasilisha " "mafaili na ujumbe wa maandishiambazo zimapakiwa katika kompyuta yako." #: ../../source/features.rst:75 msgid "" "You can also click the down \"↓\" icon in the top-right corner to show the " "history and progress of people sending files to you." msgstr "" "Pia unaweza kubofya mshare wa chini \"↓\" kulia kona ya juu kuonyesha " "historia na maendeleo ya watu wanaokutumia ujumbe wa maandishi." #: ../../source/features.rst:77 msgid "Here is what it looks like for someone sending you files and messages." msgstr "" "Hivi ndivyo inavyoonekana kwa mtu anapokutumia mafaili na ujumbe wa " "maandishi." #: ../../source/features.rst:81 msgid "" "When someone submits files or messages to your receive service, by default " "they get saved to a folder called ``OnionShare`` in the home folder on your " "computer, automatically organized into separate subfolders based on the time " "that the files get uploaded." msgstr "" "Mtu anapowasilisha mafaili au ujumbe wa maandishi katika huduma yako ya " "kupokea, kwa asili yake zinahifadhiwa katika folda linaloitwa ``OnionShare`` " "katika folda ukurasa wa nyumbani katika kompyuta yako, mojakwamoja panga " "katika mafolda madogo tofauti kulingana na muda ambao faili linasasishwa." #: ../../source/features.rst:83 msgid "" "Setting up an OnionShare receiving service is useful for journalists and " "others needing to securely accept documents from anonymous sources. When " "used in this way, OnionShare is sort of like a lightweight, simpler, not " "quite as secure version of `SecureDrop `_, the " "whistleblower submission system." msgstr "" "Mpangilio katika OnionShare ya kupokea huduma inafaa sana kwa waandishi wa " "habari na mahitaji mengine ya usalama wa kupokea katika vyanzo " "visivyojulikana. Unapotumia kwa njia hii, OnionShare ni kama kubwa, rahisi, " "sio salama sana kama toleo la`SecureDrop `_, the " "whistleblower mfumo wa uwasilishaji." #: ../../source/features.rst:86 msgid "Use at your own risk" msgstr "Tumia kwa kujitafutia hatari wewe mwenyewe" #: ../../source/features.rst:88 msgid "" "Just like with malicious email attachments, it's possible someone could try " "to attack your computer by uploading a malicious file to your OnionShare " "service. OnionShare does not add any safety mechanisms to protect your " "system from malicious files." msgstr "" "Kama ilivyo kwa barua pepe zilizoambatanishwa na vitu visivyo saloama, " "Inawezekana mtu anaweza kujaribu kuvamia kompyuta yakokwa kupakia mafaili " "yasiyo salama katika huduma zako za OnionShare. Hatahivyo OnionShare " "haiongezi namna yoyote ya usalama kulinda mfumo wako na mafaili yasiyo " "salama." #: ../../source/features.rst:90 msgid "" "If you receive an Office document or a PDF through OnionShare, you can " "convert these documents into PDFs that are safe to open using `Dangerzone " "`_. You can also protect yourself when opening " "untrusted documents by opening them in `Tails `_ or " "in a `Qubes `_ disposableVM." msgstr "" "Kama umepokea nyaraka au kama PDF kupitia OnionShare, unaweza kubadili " "nyaraka kwenda katika mfumo wa PDFs ambazo ni salama kufungua kwa " "kutumia`Dangerzone `_. Pia unaweza kujilinda " "ukiwa unafungua nyaraka zisizo aminika kwa kuzifungua katika `Tails `_ or in a `Qubes `_ disposableVM." #: ../../source/features.rst:92 msgid "" "However, it is always safe to open text messages sent through OnionShare." msgstr "" "Hatahivyo, Kwa kawaida ni salama kufungua ujumbe wa maandishi uliotumwa " "kupitia OnionShare." #: ../../source/features.rst:95 msgid "Tips for running a receive service" msgstr "Nondoo za kutumia huduma ya kupokea" #: ../../source/features.rst:97 msgid "" "If you want to host your own anonymous dropbox using OnionShare, it's " "recommended you do so on a separate, dedicated computer always powered on " "and connected to the internet, and not on the one you use on a regular basis." msgstr "" "Kama unataka kutunza dropbox yako mwenyewe isiyojulikana kwa kutumia " "OnionShare, Inapendekezwa kufanya pekeyake kwa kutengenisha, Kompyuta " "iliyokusudiwa kwa kawaida kuwashwa na kuunganishwa katika mtandao, na siyo " "ile unayotumia katika matumizi ya kawaida." #: ../../source/features.rst:99 msgid "" "If you intend to put the OnionShare address on your website or social media " "profiles, save the tab (see :ref:`save_tabs`) and run it as a public service " "(see :ref:`turn_off_private_key`). It's also a good idea to give it a custom " "title (see :ref:`custom_titles`)." msgstr "" "Kama umekusudia kuweka anwani za OnionShare katika tovuti yako au katika " "utambulisho wa mitandao ya kijamii, hifadhi ukurasa (see :ref:`save_tabs`) " "na uitumie kama huduma ya wazi (see :ref:`turn_off_private_key`). Ni wazo " "zuri pia kipa jina lenye sifa zilizokusudiwa (see :ref:`custom_titles`)." #: ../../source/features.rst:102 msgid "Host a Website" msgstr "Simamia tovuti" #: ../../source/features.rst:104 msgid "" "To host a static HTML website with OnionShare, open a website tab, drag the " "files and folders that make up the static content there, and click \"Start " "sharing\" when you are ready." msgstr "" "Kusimamia HTML ya tovuti ya kudumu ukiwa na OnionShare, Fungua kurasa ya " "tovuti, vuta mafaili na folda ambayo yanamaudhui ya kudumu, na kisha bofya " "\"Start sharing\" utakapokuwa tayari." #: ../../source/features.rst:108 msgid "" "If you add an ``index.html`` file, it will render when someone loads your " "website. You should also include any other HTML files, CSS files, JavaScript " "files, and images that make up the website. (Note that OnionShare only " "supports hosting *static* websites. It can't host websites that execute code " "or use databases. So you can't for example use WordPress.)" msgstr "" "Kama utaongeza faili la ``index.html``, itajisambaza wakati mtu anafungua " "tovuti yako. Pia unatakiwa kujumuisha mafaili ya HTML mengune yoyote, " "mafaili ya CSS, mafaili ya JavaScript, na picha zinazotengeneza tovuti. " "(Zingatia OnionShare husaidia tu usimamizi wa tovuti *zisizo badilika* . " "Haiwezi kusimamia tovuti inayotumia database. Kwahiyo hutaweza kwa mfano " "kutumia WordPress.)" #: ../../source/features.rst:110 msgid "" "If you don't have an ``index.html`` file, it will show a directory listing " "instead, and people loading it can look through the files and download them." msgstr "" "Kama hauna faili la``index.html``, Itaonyesha orodha ya saraka badala yake, " "na watu wanaotumia wanaweza kuonekana kwa kupitia mafaili na kuyapakua." #: ../../source/features.rst:117 msgid "Content Security Policy" msgstr "Sera ya ulinzi wa maudhui" #: ../../source/features.rst:119 msgid "" "By default OnionShare helps secure your website by setting a strict `Content " "Security Policy `_ " "header. However, this prevents third-party content from loading inside the " "web page." msgstr "" "Kwa asili yake OnionShare husaidia kulinda tovuti yako kwa kuweka `Sera ya " "ulinzi wa maudhui `_ " "madhubuti. Hata hivyo, hii huzuia maudhui ya watu wasiohusika mojakwamoja " "kuingia katika kurasa za tovuti." #: ../../source/features.rst:121 msgid "" "If you want to load content from third-party websites, like assets or " "JavaScript libraries from CDNs, you have two options:" msgstr "" "Kama unataka kupata maudhui ya tovuti zisizo husika mojakwamoja, kama mali " "au maktaba za kutoka CDNs, una machaguo mawili:" #: ../../source/features.rst:123 msgid "" "You can disable sending a Content Security Policy header by checking the " "\"Don't send Content Security Policy header (allows your website to use " "third-party resources)\" box before starting the service." msgstr "" "Unaweza kuzuia kutuma taarifa za Sera za Ulinzi wa Maudhui kwa kuchagua " "kipengele cha \"Don't send Content Security Policy header (allows your " "website to use third-party resources)\" kabla ya kuanza huduma." #: ../../source/features.rst:124 msgid "You can send a custom Content Security Policy header." msgstr "Unaweza kutuma taarifa zaSera ya Ulinzi wa Maudhui iliyoboreshwa." #: ../../source/features.rst:127 msgid "Tips for running a website service" msgstr "Dondoo za kusimamia huduma za tovuti" #: ../../source/features.rst:129 msgid "" "If you want to host a long-term website using OnionShare (meaning not just " "to quickly show someone something), it's recommended you do it on a " "separate, dedicated computer that is always powered on and connected to the " "internet, and not on the one you use on a regular basis. Save the tab (see :" "ref:`save_tabs`) so you can resume the website with the same address if you " "close OnionShare and re-open it later." msgstr "" "Kama unataka kusimamia tovuti ya muda mrefu kwa kutumia OnionShare " "(ikimaanisha siyo tu kuonyesha kitu haraka kwa mtu), Inapendekezwa ufanye " "hivo tofauti, Kompyuta iliyolengwa ambayo kwa kawaida inawashwa na " "kuunganishwa katika mtandao, na siyo katika ile unayotumia katika matumizi " "yako ya kawaida.. Hifadhi kjurasa (see :ref:`save_tabs`) ili kuendeleza " "tovuti na anwani ileile kama utafunga OnionShare na fungua tena baadae." #: ../../source/features.rst:132 msgid "" "If your website is intended for the public, you should run it as a public " "service (see :ref:`turn_off_private_key`)." msgstr "" "Kama tovuti yako imelengwa kwa ajili ya umma, unatakiwa uiendeshe kama " "huduma ya wazi kwa umma (Rejea:`turn_off_private_key`)." #: ../../source/features.rst:135 msgid "Chat Anonymously" msgstr "Chat bila kujulikana" #: ../../source/features.rst:137 msgid "" "You can use OnionShare to set up a private, secure chat room that doesn't " "log anything. Just open a chat tab and click \"Start chat server\"." msgstr "" "Unaweza kutumia OnionShare kutengeneza alama za kipekee za utambuzi, chata " "salama ambazo haitunzi kumbukumbu yoyote. Fungua kurasa ya chat kisha bofya " "\"Start chat server\"." #: ../../source/features.rst:141 msgid "" "After you start the server, copy the OnionShare address and private key and " "send them to the people you want in the anonymous chat room. If it's " "important to limit exactly who can join, use an encrypted messaging app to " "send out the OnionShare address and private key." msgstr "" "Baada ya kuanza kutumia seva, nakili anwani ya OnionShare na private key " "kisha watumie watu unaowahitaji katika chat ya kutojulikana. Kama ni lazima " "kuweka kikomo cha watakaojiunga, tumia programu tumizi ya ujumbe wa " "maandishi uliosimbwa kutuma anwani ya OnionShare address na private key." #: ../../source/features.rst:146 msgid "" "People can join the chat room by loading its OnionShare address in Tor " "Browser. The chat room requires JavasScript, so everyone who wants to " "participate must have their Tor Browser security level set to \"Standard\" " "or \"Safer\", instead of \"Safest\"." msgstr "" "Watu wanaweza kujiunga na chat kwa kutafuta anwani za OnionShare katika Tor " "Browser. Sehemu ya inahitaji JavasScript, Kwahiyo kila anayetaka kushiriki " "wanatakiwa kuwa na Tor Browser kiwango cha usalama kikiwa au \"Standard\" au" "\"Safer\", badala ya \"Safest\"." #: ../../source/features.rst:149 msgid "" "When someone joins the chat room they get assigned a random name. They can " "change their name by typing a new name in the box in the left panel and " "pressing ↵. Since the chat history isn't saved anywhere, it doesn't get " "displayed at all, even if others were already chatting in the room." msgstr "" "Mtu akijiunga na sehemu ya chat wanapatiwa majina yasiyo katika mpangilio. " "Wanaweza kubadili majina yao kwa kuandika jina jipya katika kisanduku upande " "wa kushoto na kubonyeza ↵. Sababu historia ya chat haijahifadhiwa popote, " "haitaonekana kabisa, hata kam wengine walikuwa wana chat kabla." #: ../../source/features.rst:155 msgid "" "In an OnionShare chat room, everyone is anonymous. Anyone can change their " "name to anything, and there is no way to confirm anyone's identity." msgstr "" "Katika chat za OnionShare, kila mtu hajulikani. Kila mmoja anaweza badili " "jina lake kuwa vyovyote, na hakuna namna ya kuthibitisha utambulisho wa mtu " "yoyote." #: ../../source/features.rst:158 msgid "" "However, if you create an OnionShare chat room and securely send the address " "only to a small group of trusted friends using encrypted messages, you can " "be reasonably confident the people joining the chat room are your friends." msgstr "" "Hatahivyo, kama umetengeneza chat ya OnionShare na kwa usalama umetuma " "anwani kwa kundi dogo la marafiki unaowaamini kwa kutumia ujumbe wa " "maandishi uliosimbwa, unaweza kuwa ujasiri wa uhakika kuwa wanaojiunga " "katika chat ni marafiki zako." #: ../../source/features.rst:161 msgid "How is this useful?" msgstr "Kwanamna gani inafaa?" #: ../../source/features.rst:163 msgid "" "If you need to already be using an encrypted messaging app, what's the point " "of an OnionShare chat room to begin with? It leaves less traces." msgstr "" "Kama umekwisha wahi tumia programu tumizi ya ujumbe wa maandishi uliosimbwa, " "nafasi ya maswali ya sababu ya kwanini kuwa na chat ya OnionShare inakuwa " "ndogo sana." #: ../../source/features.rst:165 msgid "" "If you for example send a message to a Signal group, a copy of your message " "ends up on each device (the smartphones, and computers if they set up Signal " "Desktop) of each member of the group. Even if disappearing messages is " "turned on, it's hard to confirm all copies of the messages are actually " "deleted from all devices, and from any other places (like notifications " "databases) they may have been saved to. OnionShare chat rooms don't store " "any messages anywhere, so the problem is reduced to a minimum." msgstr "" "Kwa mfano ukituma ujumbe wa maandishi kwenda katika kundi la Signal, nakala " "ya ujumbe wako wa maandishi inaishia katika kila kifaa (simu janja, and " "kompyuta hutengeneza Signal ya Desktop) kwa kila mshirika wa kundi. Hata " "kama ni ujumbe wa kupotea baada ya kusomwa umewezeshwa, Ni ngumu kuhakiki " "kama nakala zote za ujumbe zimefutika katika vifaa wanavyotumia, na katika " "sehemu nyingine yoyote, (kama katika database ya taarifa) zinaweza kuwa " "zimehifadhiwa. Chat za OnionShare haziifadhi ujumbe wowote mahali popote, " "kwahiyo tatizo linakuwa limepungua pakubwa." #: ../../source/features.rst:168 msgid "" "OnionShare chat rooms can also be useful for people wanting to chat " "anonymously and securely with someone without needing to create any " "accounts. For example, a source can send an OnionShare address to a " "journalist using a disposable email address, and then wait for the " "journalist to join the chat room, all without compromosing their anonymity." msgstr "" "Chat za OnionShare zinaweza kufaa sana kwa watu kwa watu wanaosubiri chat " "bila kujulikana na salama kwa mtu bila ya kuhitaji kutengeneza akaunti. Kwa " "mfano, mtu anaweza kutuma anwani ya OnionShare kwa waandishi wa habari kwa " "kutumia barua pepe isiyodumu, na kisha kusubiri mwandishi wa habari kujiunga " "na chat, wote bila ya kujuana na kujulikana." #: ../../source/features.rst:172 msgid "How does the encryption work?" msgstr "Usimbwaji unafanya kazi kwa namna gani?" #: ../../source/features.rst:174 msgid "" "Because OnionShare relies on Tor onion services, connections between the Tor " "Browser and OnionShare are all end-to-end encrypted (E2EE). When someone " "posts a message to an OnionShare chat room, they send it to the server " "through the E2EE onion connection, which then sends it to all other members " "of the chat room using WebSockets, through their E2EE onion connections." msgstr "" "Sababu OnionShare hutegemea Tor onion services, mawasiliano kati ya Tor " "Browser na OnionShare yote yamesimbwa kati ya watumiaji wawili tu(E2EE). Mtu " "akituma ujumbe wa maandishi katika chati ya OnionShaare, wanatuma katika " "seva kupitiamawasiliano ya E2EE onion, ambayo kisha hutuma kwa washirika " "wengine wote katika chat kwa kutumia WebSockets, kupitia mawasiliano yao ya " "E2EE onion." #: ../../source/features.rst:176 msgid "" "OnionShare doesn't implement any chat encryption on its own. It relies on " "the Tor onion service's encryption instead." msgstr "" "OnionShare haifanyi usimbwaji wowote wa chat encryption yenyewe. Badala yake " "hutegemea usimbwaji wa Tor onion service's."